\v=20 \v~=Gehazi, mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu, akajiambia mwenyewe, “Bwana wangu amemwachia kirahisi sana Naamani, huyu Mwaramu, kwa kutokupokea kutoka kwake vile alivyovileta. Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, nitamkimbilia na kupata kitu kutoka kwake.” \¬v \¬p