\p \v=22 \v~=Gehazi akajibu, “Mambo yote ni sawa. Bwana wangu amenituma nikuambie, ‘Vijana wawili kutoka kwa wana wa manabii wamenijia kutoka nchi ya vilima ya Efraimu. Tafadhali wape talanta ya fedha\f + \fr 5:22 \ft Talanta ya fedha ni sawa na kilo 34.\f* na mivao miwili ya mavazi.’ ” \¬v \¬p