\v=5 \v~=Mfalme wa Aramu\f + \fr 5:5 \ft Yaani mfalme wa Shamu.\f* akamjibu, “Hakika, nenda. Nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli.” Kwa hiyo Naamani akaondoka, akiwa amechukua talanta kumi\f + \fr 5:5 \ft Talanta 10 za fedha ni sawa na kilo 340.\f* za fedha, shekeli 6,000 za dhahabu,\f + \fr 5:5 \ft Shekeli 6,000 za dhahabu ni sawa na kilo 70.\f* na mivao kumi ya mavazi. \¬v