\p \v=17 \v~=Kisha Elisha akaomba, “Ee \nd Bwana\nd*, mfumbue macho huyu mtumishi ili apate kuona.” Ndipo \nd Bwana\nd* akayafumbua macho ya yule mtumishi, naye akatazama na kuona vilima vimejaa farasi na magari ya moto, yamemzunguka Elisha pande zote. \¬v \¬p