\p \v=18 \v~=Wakati adui waliposhuka kumwelekea, Elisha akamwomba \nd Bwana\nd*: “Wapige watu hawa kwa upofu.” Basi Mungu akawapiga kwa upofu, kama Elisha alivyoomba. \¬v \¬p