\p \v=20 \v~=Baada ya kuingia mjini, Elisha akasema, “\nd Bwana\nd*, yafungue macho ya watu hawa ili wapate kuona.” Ndipo \nd Bwana\nd* akayafungua macho yao, na walipotazama, kumbe hapo ndipo walipojikuta, ndani ya Samaria. \¬v \¬p