\v=25 \v~=Kukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini\f + \fr 6:25 \ft Shekeli 80 za fedha ni sawa na kilo moja.\f* za fedha, na robo ya kibaba\f + \fr 6:25 \ft Robo ya kibaba ni sawa na lita 0.3.\f* cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano\f + \fr 6:25 \ft Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.\f* za fedha. \¬v \¬p