\p \v=27 \v~=Mfalme akajibu, “Ikiwa \nd Bwana\nd* hakusaidii, nitakutolea wapi msaada? Je, ni kutoka kwenye sakafu ya kupuria? Au kwenye shinikizo la divai?” \¬v