\p \c#=7 \v=1 \v~=Elisha akasema, “Sikiliza neno la \nd Bwana\nd*. Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja\f + \fr 7:1 \ft Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3.\f* cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha,\f + \fr 7:1 \ft Shekeli moja ya fedha ni sawa na gramu 11.\f* na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.” \¬v \¬p