\p \v=19 \v~=Yule afisa alikuwa amemwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kama \nd Bwana\nd* atafungua madirisha ya mbinguni, je, jambo hili litawezekana?” Naye yule mtu wa Mungu alikuwa amemjibu, “Utaona kwa macho yako mwenyewe, lakini wewe hutakula chochote kati ya hivyo!” \¬v