\v=19 \v~=Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, \nd Bwana\nd* hakutaka kuiangamiza Yuda. Alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili ya Daudi na wazao wake milele. \¬v \¬p