\v=26 \v~=‘Jana niliona damu ya Nabothi na damu ya wanawe, nami kwa hakika nitakufanya uilipe juu ya shamba hili, asema \nd Bwana\nd*.’ Sasa basi, mwinue na umtupe juu ya kiwanja, kulingana na neno la \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p