\v=36 \v~=Wakarudi na kumwambia Yehu, ambaye alisema, “Hili ndilo neno la \nd Bwana\nd* alilosema kupitia kinywa cha mtumishi wake Eliya Mtishbi, kwamba: Katika kiwanja cha Yezreeli, mbwa wataikula nyama ya Yezebeli. \¬v