\p \v=6 \v~=Yehu akainuka na kuingia ndani ya nyumba. Ndipo yule nabii akamimina mafuta juu ya kichwa cha Yehu na kutangaza, “Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: ‘Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa \nd Bwana\nd*, yaani Israeli. \¬v