\v=7 \v~=Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa \nd Bwana\nd* iliyomwagwa na Yezebeli. \¬v