\v=13 \v~=Mtaila katika mahali patakatifu kwa sababu ni fungu lenu na fungu la wana wenu la sadaka zilizotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto, kwa maana hivyo ndivyo nilivyoamriwa. \¬v