\v=15 \v~=Paja lile lililotolewa na kidari kile kilichoinuliwa lazima viletwe pamoja na sehemu za mafuta ya sadaka za kuteketezwa kwa moto, ili kuinuliwa mbele za \nd Bwana\nd* kama sadaka ya kuinuliwa. Hili litakuwa fungu lako la kawaida na wanao, kama \nd Bwana\nd* alivyoagiza.” \¬v \¬p