\p \v=19 \v~=Aroni akamjibu Mose, “Leo wanangu wametoa sadaka zao za dhambi na sadaka zao za kuteketezwa mbele za \nd Bwana\nd*, lakini mambo kama haya yamenitokea mimi. Je, \nd Bwana\nd* angependezwa kama ningekuwa nimekula sadaka ya dhambi leo?” \¬v