\v=7 \v~=Msitoke nje ya ingilio la Hema la Kukutania, la sivyo mtakufa, kwa sababu mafuta ya \nd Bwana\nd* ya upako yako juu yenu.” Hivyo wakafanya kama vile Mose alivyosema. \¬v \¬p