\v=45 \v~=Mimi ndimi \nd Bwana\nd* niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu. \¬v \¬p