\v=2 \v~=“Iwapo mtu yeyote atakuwa na uvimbe au upele au alama nyeupe juu ya ngozi yake ambayo yaweza kuwa ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza,\f + \fr 13:2 \ft Ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma, ni neno lililotumika kwa Kiebrania kueleza magonjwa mbalimbali ya ngozi ambayo si lazima yawe ni ukoma halisi.\f* ni lazima aletwe kwa Aroni kuhani ama kwa wanawe, kuhani mmojawapo. \¬v