\v=11 \v~=Kuhani atakayemtangaza kuwa safi atahitaji kumkabidhi mgonjwa aliyepona pamoja na sadaka zake zote mbele za \nd Bwana\nd* katika ingilio la Hema la Kukutania. \¬v \¬p