\p \v=12 \v~=“Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumtoa kuwa sadaka ya hatia, pamoja na ile logi moja ya mafuta; ataviinua mbele za \nd Bwana\nd* kuwa sadaka ya kuinuliwa. \¬v