\p \v=21 \v~=“Hata hivyo, kama ni maskini na hawezi kupata vitu hivi, lazima achukue mwana-kondoo mmoja kama sadaka ya hatia ipate kuinuliwa ili kumfanyia upatanisho, pamoja na sehemu ya kumi ya efa\f + \fr 14:21 \ft Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na lita 2.\f* ya unga laini uliochanganywa na logi moja ya mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka, \¬v