\v=24 \v~=Kuhani atamchukua mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya hatia, pamoja na ile logi ya mafuta ya kuinuliwa mbele za \nd Bwana\nd* kuwa sadaka ya kuinuliwa. \¬v