\v=15 \v~=Kuhani atavitoa dhabihu, mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi na huyo mwingine kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa. Kwa njia hii atafanya upatanisho mbele za \nd Bwana\nd* kwa ajili ya huyo mtu kwa sababu ya kutokwa usaha kwake. \¬v \¬p