\p \v=31 \v~=“ ‘Ni lazima uwatenge Waisraeli kutokana na vitu ambavyo vinawafanya najisi, ili wasife katika unajisi wao kwa kunajisi makao yangu,\f + \fr 15:31 \ft Yaani \fqa maskani ya Mungu\ft . \f* ambayo yapo katikati yao.’ ” \¬v \¬p