\v=12 \v~=Atachukua chetezo kilichojaa makaa yanayowaka kutoka madhabahuni mbele za \nd Bwana\nd*, na konzi mbili za uvumba laini uliosagwa vizuri wenye harufu, na kuvipeleka nyuma ya pazia. \¬v