\v=13 \v~=Ataweka uvumba juu ya moto mbele za \nd Bwana\nd*, na moshi wa uvumba utafunika kile kiti cha rehema kilicho juu ya Ushuhuda, ili asife. \¬v