\p \v=18 \v~=“Kisha atatoka aje kwenye madhabahu yaliyo mbele za \nd Bwana\nd* na kufanya upatanisho kwa ajili yake. Atachukua sehemu ya damu ya fahali na sehemu ya damu ya mbuzi, na kuiweka kwenye pembe za madhabahu. \¬v