\v=30 \v~=kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za \nd Bwana\nd* kutokana na dhambi zenu zote. \¬v