\v=8 \v~=Aroni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya \nd Bwana\nd* na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi.\f + \fr 16:8 \ft Yaani \fqa Azazeli\ft , maana yake \fqa mbuzi wa ondoleo la dhambi\ft ; pia ms. 10, 26.\f* \¬v