\v=9 \v~=Aroni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya \nd Bwana\nd* imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi. \¬v