\v=4 \v~=badala ya kuileta kwenye ingilio la Hema la Kukutania ili kuileta kama sadaka kwa \nd Bwana\nd* mbele ya Maskani ya \nd Bwana\nd*, mtu huyo atahesabiwa kuwa na hatia ya kumwaga damu; ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. \¬v