\v=5 \v~=Hii ni ili Waisraeli wamletee \nd Bwana\nd* dhabihu wanazozifanya sasa mahali pa wazi mashambani. Ni lazima wazilete kwa makuhani, yaani kwa \nd Bwana\nd*, katika ingilio la Hema la Kukutania, na kutoa dhabihu kama sadaka za amani. \¬v