\v=6 \v~=Kuhani atanyunyiza damu kwenye madhabahu ya \nd Bwana\nd* katika ingilio la Hema la Kukutania, na kuyateketeza mafuta ya hiyo dhabihu kuwa harufu nzuri ya kumpendeza \nd Bwana\nd*. \¬v