\p \v=6 \v~=“ ‘Hakuna mtu awaye yote atakayemsogelea ndugu wa karibu ili kukutana naye kimwili. Mimi ndimi \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p