\v=10 \v~=Usirudi mara ya pili katika shamba lako la mizabibu, wala usiokote zabibu zilizoanguka chini. Ziache kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p