\p \v=14 \v~=“ ‘Usimlaani kiziwi, wala usiweke kikwazo mbele ya kipofu, lakini umche Mungu wako. Mimi ndimi \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p