\v=24 \v~=Katika mwaka wa nne matunda yote ya mti huo yatakuwa matakatifu, sadaka ya sifa kwa \nd Bwana\nd*. \¬v