\v=25 \v~=Bali katika mwaka wa tano mnaweza kula matunda ya mti huo. Kwa njia hii mavuno yenu yataongezewa. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p