\p \v=3 \v~=“ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wenu. \¬v \¬p