\p \v=31 \v~=“ ‘Msiende kwa waaguzi, wala msitafute wapunga pepo, kwa maana watawanajisi. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p