\v=36 \v~=Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa\f + \fr 19:36 \ft Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu.\f* halali, na hini\f + \fr 19:36 \ft Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika.\f* halali. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri. \¬v \¬p