\p \v=5 \v~=“ ‘Mnapotoa dhabihu ya sadaka ya amani kwa \nd Bwana\nd*, toeni kwa namna ambayo itakubaliwa kwa niaba yenu. \¬v