\v=11 \v~=Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu mbele za \nd Bwana\nd*, nao wana wa Aroni walio makuhani watanyunyizia damu yake pande zote za madhabahu. \¬v