\p \v=14 \v~=“ ‘Kama sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwa \nd Bwana\nd* ni ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa. \¬v