\v=2 \v~=“Sema na Waisraeli na uwaambie, ‘Yeyote miongoni mwenu aletapo sadaka ya mnyama kwa \nd Bwana\nd*, alete mnyama kama sadaka yake kutoka kundi lake la ngʼombe au la kondoo na mbuzi. \¬v \¬p