\v=5 \v~=Atamchinja yule fahali mchanga mbele za \nd Bwana\nd*, kisha wana wa Aroni walio makuhani wataleta damu na kuinyunyiza pande zote za madhabahu yaliyo penye ingilio la Hema la Kukutania. \¬v