\v=24 \v~=Lakini niliwaambia ninyi, “Mtaimiliki nchi yao; nitawapa ninyi kuwa urithi, nchi inayotiririka maziwa na asali.” Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ambaye amewatenga kutoka mataifa. \¬v \¬p